5/4/16

Roma ataanza kuimba kuhusu ‘Bata’ na ‘Mapenzi’ mara baada ya kupata hili.


Msanii wa Hiphop Roma amefunguka kuhusu ujumbe kwenye nyimbo zake na kusema ataendelea kuimba nyimbo hizi mpaka atakapo pata uongozi na utawala utakao badilisha taifa lake na kumfanya aanze kuimba kula bata na starehe.
Akizungumza na Fahamu Tv Roma anasema akianza kupata mafanikio ya fedha ataanza kuimba nyimbo za kula bata.
“Najaribu kutafuta utawala au uongozi utakao nifanya niimbe bata, nikianza kuimba bata inamaana tumeshinda vita, na sasa naimba kula bata na kuimbia baby’s,ila sasa naendelea kushindilia ili nibaki kuwa mwanaharakati hapa Tanzania“.
Roma pia alikata kuweka wazi kuwa amekamatwa na polisi mara ngapi mpaka sasa kutokana na nyimbo zake.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm