5/15/16

Rwanda Kuanza Kutumia Ndege Zisizokuwa na RubaniHayo yalizungumzwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame hiyo Ijumaa katika mkutano na Waandishi wa Habari ambapo alithibitisha ya kwamba serekali yake atatumia ndege zisizokuwa na rubani nchini kwa ajili ya kusambaza chanjo na damu kuanzia Agosti mwaka huu.
Ifahamike kuwa zoezi hilo la usambazaji wa chanjo na damu katika hospitali tofauti nchini Rwanda ni mkataba baina ya Serekali ya Rwanda na Shirika la Marekani la Zipline International uliogharimu kitita cha fedha milioni 12 sarafu za Marekani.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts