5/15/16

Serikali ya Msumbiji inasema kuwa haina chakula cha kutosha
Serikali ya Msumbiji inasema kuwa haina chakula cha kutosha na watu wapatao milioni tatu watakabiliwa na njaa kutokna na ukame.
Takriban watu 40 wameaga dunia na maeneo makubwa yenye mimea ya kilimo yameharibiwa huku maelfu ya mifugo wakifa.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts