5/8/16

TRA Yagawa Mifuko 5,319 ya Sukari Iliyokamatwa Kwa Taasisi Mbalimbali

 
SAKATA LA SUKARI: Mamlaka ya Mapato (TRA) Lindi imetaifisha na kugawa sukari mifuko 5,319 toka Brazil yenye thamani ya Sh 373.5 milioni na kuigawa kwa taasisi mbalimbali mkoani humo ikiwa ni sehemu ya shehena iliyokamatwa ikiingizwa kimagendo nchini mwezi Februari 2016.
Taasisi zilizopata sukari hiyo ni magereza, shule maalumu, kambi ya wazee, shule za kawaida,hospitali na magereza.

chanzo: Mwananchi
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm