5/4/16

VIDEO: Mashambulizi 50 bora yaliowahi kufanikiwa kuokolewa golini na magolikipa


Kuna baadhi ya matukio au mashambulizi katika soka wakati yanatokea kwa asilimia 75 unaweza kutabiri mpira utaingia nyavuni na kuwa  goli kuliko uwezekano wa golikipa kuokoa, moja kati ya mipira ambayo hutajwa kuwa asilimia 75 goli ni mkwaju wa penati. Mtu wangu wa nguvu nimekusogezea mashambulizi 50 bora yaliowahi kuokolewa na magolikipa.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts