5/18/16

Video: Watu walifanya daraja la mabasi ya mwendo kasi la Ubungo kama nyumba ya wageni


Watumiaji wa daraja la kisasa linalounganisha kituo kikuu cha mabasi Ubungo na kituo cha mabasi yaendayo haraka wako katika hatari ya kupata magonjwa kutokana na baadhi ya watu wanaosadikiwa kulala katika daraja hilo kuamua kujisaidia ndani ya daraja na kusababisha idadi kubwa watumiaji wa daraja hili kuamua kuvuka barabara kwa miguu kukwepa harufu mbaya jambo linalohatarisha maisha yao
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm