5/30/16

Wadau wa Utafiti wa Viashiria na matokeo ya Ukimwi wakutana Dar


Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt.Albina Chuwa Akizungumza na wadau wa Utafiti wa Viashiria na matokeo ya Ukimwi wakati wa mkutano wa wadau hao uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Kudhiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Bibi. Fatma Mrisho Akizungumza na wadau wa Utafiti wa Viashiria na matokeo ya Ukimwi wakati wa mkutano wa wadau hao uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee leo jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na masuala ya Afya – ICAP Dkt. Fernando Morales akielezea jambo mbele ya wadau wa Utafiti wa Viashiria na matokeo ya Ukimwi wakati wa mkutano wa wadau ha oleo jijini Dar es Salaam.
Picha na: Benjamini Sawe
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm