5/24/16

WALK IT OFF Yampa Dili Jingine Fid Q

 Tanzania imepata bahati mara kadhaa baada ya kazi za wasanii wake kutumika kimataifa na wasanii wa nje mfano Wimbo wa ‘Chambua kama Karanga’ wa Saida Karoli uliotumika kwenye Tyler Perry  ya filamu ya Kimarekani iitwayo ‘Peeples’ .

Bado Tanzania imeendelea kung’ara kimuziki kwani muziki unalipa kwa style nyingi mfano kwa njia ya ‘kupaform’, ‘ringing tones’ na kuuza album ingawa kwa hapa nyumbani hiyo sio sana zaidi hulipa kwa nchi za wenzetu.

Safari hii dili limeangukia kwa Msanii wa Muziki wa Hip Hop Farid Kubanda a.k.a Fid Q baada ya kupata mchongo wa beat ya ngoma yake mpya ya ‘Walk it Off’ inayofanya vizuri, kutaka kutumiwa na kampuni moja ya habari ya kimataifa katika documentary itakayoandaliwa huko Marekani ikimzungumzia Mwanamasumbwi maarufu duniani kutumika kama sound track.

Fid Qamesema ngoma ambazo amewahi kuzifanya na kutumika kama sound track ni pamoja na Report za Mtaani, Usinikubali Haraka, Mwanza Mwanza na Mwanangu

Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts