5/11/16

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AONDOKA NCHINI KWENDA UINGEREZA

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AONDOKA NCHINI KWENDA UINGEREZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye uwanja wa ndege wa Julius  Nyerere kabla ya kuondoka kwenda London Uingereza Mai 10 , 2016, kumwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano wa  Wakuu wa Nchi wa kujadili masuala ya kupambana na rushwa duniani.
(Picha n Ofisi ya Wziri Mkuu) (PT)
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm