5/10/16

Wema Sepetu na mabusu ya ukweli kwenye filamu hii mpya (Video)


Ukiwa muigizaji kubali yote. Kuna scenes ambazo zitakuhitaji upigane busu na mtu anayecheza kama mpenzi wako na ili kupata uhalisia wa tukio huna budi kubadilishana mate kwenye screen.
13188038_439200079621629_221010926_n
Wema Sepetu hana kinga ya ukweli huo na ndio maana kwenye clip iliyowekwa Instagram, anaonekana akibusu na muigizaji mchanga, Koko Byanko utadhani kweli ni wapenzi. Haijulikani filamu hiyo inaitwaje japo Koko amekuwa akiandika ‘Shabiusi’ bila kueleza kama ndio jina lake. Jionee mwenyewe video hiyo.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm