Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

5/29/16

XAVI Fundi wa Kutoa na Kuutaka TenaMji wa Terrasa nchini Hispania umetoa mtu muhimu sana katika karne hii ya 21,Moja ya mtu muhimu alietoka hapo ni Xavier Hernandez Crues maarufu kama “Xavi”.
Amezaliwa 25 Jabuary 1980 kwa sasa ana umri wa miaka 36 anacheza nafasi ya kiungo “Play maker”, kwa sasa anacheza timu ya Al-Sadd, anavaa jezi namba 6 ambayo alikuwa anavaa, akiwa Barcelona amefanikiwa kuchukua makombe 28 ambapo alichaguliwa kuwa kiungo bora mara nne 2008-2012 mfululizo.
Xavi amecheza michezo 700 na kufunga magoli 82 ametoa “Assist” 180 kwa wachezaji 50 tofauti, ni mchezaji wa kwanza kucheza michezo 150 ya kimataifa kutoka Barcelona.mwaka 2010 alitajwa kuwa kiungo mchezeshaji bora kombe la duniaa mwaka huo huo alistaafu kucheza timu ya taifa.
Ni Kiungo ambaye atakumbukwa kucheza vizuri na Andrew Iniesta moja ya viungo bora kuwa kutokea katika ulimwengu huu.