6/8/16

#BajetiTz16: Kodi zilizoongezeka

Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip
Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango #BajetiTz16 
By Seif Kabelele na Elias Msuya
 • Vinywaji baridi kutoka Sh55 hadi Sh58
 • Juisi ya matunda ya nchini kutoka Sh10 hadi Sh11
 • Juisi kwa matunda yanayozalishwa nje, kutoka Sh200 hadi Sh200 kwa lita moja.
 • Bia iliyotengenezwa kwa nafaka ya ndani ambayo haijaoteshwa kutoka Sh409 hadi Sh430 kwa lita.
 • Bia nyinginezo kutoka Sh694 hadi Sh729
 • Bia zisizo na kilevi na nyingine zinazoongeza nguvu, kutoka Sh508 hadi Sh534.
 • Mvinyo uliotengenezwa kwa zabibu za ndani kwa zaidi ya kiwango kinachozidi asilimia 75, kutoka Sh192 hadi Sh202.
 • Zabibu inayozalishwa kwa zabibu za nje kwa kiwango kinachozidi asilimia 25, kutoka Sh2,130 hadi Sh2,237 kwa lita moja.
 • Ushuru wa bidhaa unaotozwa kwenye samani zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kutoka asilimia 15 hadi asilimia 20, kwa lengo la kuhamasisha matumizi ya samani zinazotengenzwa nchini.
 • Kodi mpya ya asilimia 10 katika huduma ya kupokea fedha kwa mitandao ya simu badala ya kutoza tu kwa anayepokea
 • Kusajili magari juu kutoka Sh150,000 hadi Sh250,000
 • Kusajili pikipiki juu kutoka Sh45,000 hadi Sh95,000
 • Ada namba binafsi juu kutoka Sh5 milioni hadi Sh10 milioni  #BajetiTz16
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts