6/20/16

Basi la NBS kutoka Dar - Tabora na Basi la Kisbo, yamepata ajali Mbaya Gairo,Morogoro


Basi la NBS linalotoka DAR kwenda TABORA limepata ajali mbaya maeneo ya Gairo Morogoro. Watu 4 wafariki na 10 kujeruhiwa katika ajali ya basi la NBS.


Huku ajali nyingine ya basi la KISBO likijeruhi watu kadhaa Morogoro. Basi la Kisbo T895CYL Limepata ajali ya kuparuzana na trailer flatbed eneo la Magubike Kilosa.Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts