Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

6/22/16

Bilioni 2/- kusaidia kaya masikini
MFUKO wa Maendeleo ya Jamii Nchini (Tasaf) wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, kupitia mpango wa kusaidia kaya masikini unatarajia kutumia zaidi ya Sh bilioni mbili kusaidia kaya zilizo katika mpango huo.

Mpango huo ulianza kutekelezwa katika kipindi cha Mei hadi Juni mwaka huu, na kutumia kiasi hicho kwa ajili ya kuwapatia walengwa ambao wengi wao ni watu wazima na akinamama.

Akizungumza mjini Kibaha, Mratibu wa Tasaf wilayani Kibaha, Godson Harry aliyasema hayo alipotembelewa na ugeni kutoka Tasaf makao makuu ukiongozwa na Meneja Rasilimali Watu, Thecla Makundi.

“Fedha hizo zinaendelea kutolewa ambapo ugeni huo ulishuhudia kupatiwa fedha kwa walengwa katika vijiji vya Disunyala na Msongola ambapo zaidi ya watu 130 walifikiwa,” alisema.

Aidha alisema kwa sasa Tasaf inatekeleza programu ya miradi ya ajira ya muda kwa kaya masikini katika kipindi cha kuanzia Januari mwaka 2016 hadi Aprili mwaka 2017.

Kwa upande wake Makundi aliitaka jamii inayonufaika na mpango huo kuhakikisha wanatumia fedha hizo kwa ajili ya kujiletea maendeleo yao na jamii.