6/5/16

Halmashauri nchini zaagizwa kutenga fedha kwa ajili ya ukarabati wa Madawati na madarasa


Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akizungumza wakati wa harambe ya kuchangia madawati kwa ajili ya shule za msingi wilayani Mpwapwa, harambee hiyo imefanyika jana katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam jijini Dar es Salaam. Katika harambee hiyo zaidi ya fedha na ahadi zenye thamani ya shilingi milioni 128 zilipatika ambazo ni sawa na madawati 1805 yalipatikana katika harambe hiyo ya awali.
Mkuu wa Wilaya Mpwapwa Mohamed M. Utally (katikati) akisisitiza jambo wakati wa harambe ya kuchangia madawati kwa ajili ya shule za msingi wilayani Mpwapwa, harambee hiyo imefanyika jana katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Katika harambee hiyo zaidi ya fedha na ahadi zenye thamani ya shilingi milioni 128 zilipatika ambazo ni sawa na madawati 1805 yalipatikana katika harambee hiyo ya awali. Kutoka  kulia ni Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene na kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mohamed Ahmed Maje
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mohamed Ahmed Maje akifafanua jambo wakati wa harambe ya kuchangia madawati kwa ajili ya shule za msingi wilayani Mpwapwa, harambee hiyo imefanyika jana katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam  jijini Dar es Salaam. Katika harambee hiyo zaidi ya fedha na ahadi zenye thamani ya shilingi milioni 128 zilipatika ambazo ni sawa na madawati 1805 yalipatikana katika harambee hiyo ya awali.Wapili kulia ni Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akisikiliza kwa makini.
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene(kushoto) akimskiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya Ujenzi ya Goup Six International Ltd Janson Huang wakati akitoa ahadi ya kuchangia shilingi milioni 10 kama mchango wao wa madawati kwa ajili ya shule za msingi wilayani Mpwapwa, katika harambee iliyofanyika katika ukumbi wa Karimjee jana jijini Dar es Salaam jijini Dar es Salaam. Katika harambee hiyo zaidi ya fedha na ahadi zenye thamani ya shilingi milioni 128 zilipatika ambazo ni sawa na madawati 1805 yalipatikana katika harambe hiyo ya awali.
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene(kushoto) akimskiliza Afisa Uhusiano wa PPF Lulu Mengele wakati akitoa ahadi ya kuchangia shilingi milioni 5 kama mchango wao wa madawati kwa ajili ya shule za msingi wilayani Mpwapwa, katika harambee iliyofanyika katika ukumbi wa Karimjee jana jijini Dar es Salaam jijini Dar es Salaam. Katika harambee hiyo zaidi ya fedha na ahadi zenye thamani ya shilingi milioni 128 zilipatika ambazo ni sawa na madawati 1805 yalipatikana katika harambe hiyo ya awali.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya BackLite Media inayojihusisha na matangazo Mukono Kimemia akitoa ahadi ya kuchangia shilingi milioni 11 kwa ajili ya madawati kwa shule za msingi za wilayani Mpwapwa, katika harambee iliyofanyika katika ukumbi wa Karimjee jana jijini Dar es Salaam jijini Dar es Salaam. Katika harambee hiyo zaidi ya fedha na ahadi zenye thamani ya shilingi milioni 128 zilipatika ambazo ni sawa na madawati 1805 yalipatikana katika harambe hiyo ya awali.
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene(kulia) akiwa amepokea hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Tassisi Wateja Mwandamizi WA Benki ya CRDB Emmanuel Chaburuma kama mchango wao wa madawati kwa ajili ya shule za msingi wilayani Mpwapwa, katika harambee iliyofanyika katika ukumbi wa Karimjee jana jijini Dar es Salaam jijini Dar es Salaam. Katika harambee hiyo zaidi ya fedha na ahadi zenye thamani ya shilingi milioni 128 zilipatika ambazo ni sawa na madawati 1805 yalipatikana katika harambe hiyo ya awali.
Wadau wa maendeleo wakiwa katika harambe ya kuchngia madawati kwa ajili shule za msingi wilayani Mpwapwa katika harambee iliyofanyika katika ukumbi wa Karimjee jana jijini Dar es Salaam jijini Dar es Salaam. Katika harambee hiyo zaidi ya fedha na ahadi zenye thamani ya shilingi milioni 128 zilipatika ambazo ni sawa na madawati 1805 yalipatikana katika harambe hiyo ya awali.
Picha/Habari na: Frank Shija
Halmashauri nchi zimetakiwa kuhakikisha zinatenga fedha kwa ajili ya ukarabati wa madarasa na madawati ili kuepuka kuendelea kuongezaka kwa upungufu wa miundombinu hiyo.
Agizo hilo limetolea na Waziri wan chi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachaweni wakati wa harambee ya kuchangisha madawati kwa ajili ya shule za msingi za wilaya ya Mpwapwa jana jijini Dar es Salaam.
Simbachawene amesema kuwa jambo la kutotenga fedha kwa ajili ya ukarabati wa madarasa na madawati ndiyo chanzo kikubwa cha vitu hivyo katika Halmashauri zetu hapa nchini hivyo ni lazima sasa tubadilike na kutengea fedha kwa ajili ya maeneo hayo.
“Natumia fursa hii kuagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanatenga katika bajeti zao fedha kwa ajili ya kugharamia ukarabati wa madara na madawati ili yanapoharibika na kupata hitilafu iwe rahisi kuyatengeneza” Alisema Simbachawene.
Ata hivyo aliongeza kuwa suala la huduma za kijamii ikiwemo Elimu na Afya siyo la Serikali pekee hivyo ni vyema jamii ikatambua pia inao wajibu wa kushiriki na kuchangia katika kufanikisha upatikanaji wa huduma hizo muhimu.
Wakati huohuo Waziri huyo ametumia nafasi hiyo kuwakumbusha wakuu wa Mikoa kuhakikisha ifikapo tarehe 30 mwezi huui wawe wamesha kusanya taarifa zinazojisheleza kuhusu hali ya madawati katika maeneo yao kwa kuwa tarehe hiyo ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kushughulikia tatizo la madawati katika mkakati maalum.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mohamed Maje amesema kuwa katika halmashauri yake kulikuwa na changamoto ya upungufu wa madawati zaidi ya 28,000
Kutokana na jitihada za uongozi wa Wilaya ya Mpwapwa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, mpaka sasa changamoto hiyo imeendelea kupungua kwa kasi mabapo mpaka mwezi wa mei upungufu ulikuwa  ni madawati 10,0301 na kusema kasi hiyo inatia matumaini kumaliza tatizo huilo ifikapo siku ya ukomo wa harambe hiyo.
Mkurugenzi huyo amewashurkuru wadau wote walioguswa na kujitoa kwa hali na mali ili kufanikisha zoezi la uchangiaji wa madawati kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi wilyanai Mpwapwa
Katika harambe ya jana ambayo ni ya awali na hinayotarajiwa kufikia tamati tarehe 30 mwezi huu wadau mbalimbali walichangia ambapo jumla ya shilingi milioni 126,340,000 zilipatikana ambazo ni szinawezesha upatikanaji wa madawati 1,805 ambayo itakuwa imesaidia wanafunzi wapatao 5415 kukalia madawati.
Mkurugenzi huyo ametaja baadhi ya wadau waliochangia kuwa ni PPF, CRDB Benki, Group Six International, BackLite, Tuffuny, LAPF, DED Ilala,Wakurugenzi TAMISEMI, Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Kampuni ya UWT, TPSF
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts