6/23/16

Hatua ya makundi Euro 2016 imemalizika, list ya timu zilizoingia 16 bora

Rasmi usiku wa June 22 2016 hatua ya Makundi ya michuano ya Euro 2016 imemalizika kwa michezo ya Kundi F na D kuchezwa, tumeshuhudia Sweden akikubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Ubelgiji, wakati Ireland ameifunga Italia kwa goli 1-0.
1882038
Namna ambavyo 16 bora itakavyochezwa hadi Bingwa kupatikana.
Kwa upande wa Ureno wao wamelazimisha sare ya goli 3-3 dhidi ya Hungary, wakati Iceland walimfunga Austria kwa goli 2-1, mtu wangu wa nguvu michuano hiyo sasa imeingia hatua ya 16 bora na itaanza Jumamosi ya June 25 2016.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts