6/22/16

Kauli ya Ukawa sasa dhahiri bungeniKauli iliyotolewa na wabunge wa Ukawa kuwa watasusa kushirikiana katika kazi za aina yoyote ile na wabunge wa CCM, imedhihirika jana baada ya baadhi yao kususa kusalimiana nao.

Wabunge wa CCM, Richard Ndassa (Sumve) na Kangi Lugola (Mwibara), wameeleza kutojibiwa salamu zao na wabunge hao walipowasalimia.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts