6/10/16

Kiwanja Kinauzwa Mwanza Ilemela


TANGAZO

KIWANJA KINAUZWA


Kiwanja kipo Mwanza Ilemela – Buswelu Centre

Ukubwa ni:- Urefu Mita 75 na upana ni Mita 50

Namba ya kiwanja ni 172 na Hulipiwa kila mwaka

Ndani ya Kiwanja kuna Nyumba ambayo haijamalizika yenye Vyumba 2, Jiko, Stoo na ChooUmeme upo Karibu, Maji yamepita hapo hapo.

Bei yake ni sh. 18,000,000 (Milioni Kumi Nane)

Mmiliki: Emmanuel Mroto

Simu No. +255765012272

Barua pepe: emmanuelmroto@yahoo.com

Yupo Morogoro kwa Sasa
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm