6/30/16

Madrasa yachomwa motoMadrasa moja katika eneo la Vaxjo kusini mwa Uswidi ambapo watoto hupewa mafunzo ya kiislam imeripotiwa kuchomwa katika usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu.
Taarifa hiyo ilitolewa na kituo cha runinga cha SVT na Polisi kuripoti kuwa tukio hilo ni la uhalifu.
Kikosi cha zima moto kilichokuwa na watu 25 kilifaulu kuzima moto huo kwa muda wa masaa matatu.
Ifahamike ya kwamba watoto wapatao 200 kutoka katika nchi 6 wanapewa mafunzo katika madrasa hayo.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm