6/29/16

Maonyesho ya sabasaba katika picha

Mtendaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Bw. Hussein Kattanga akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Bi. Mary Shirima wakati wa maonyesho ya kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijin Dar es Salaam

Wanausalama wakiimarisha ulinzi katika viwanja vya sabasaba ili wafanyabiashara na wananchi waweze kufanya shughuli zao kwa amani
Mwanafunzi kutoka chuo cha VETA wa pili kutoka kulia akiwaelekeza baadhi ya wananchi ubunifu wa kutengeneza boti itakayokuwa inatembea barabarani kwa kuendeshwa na dereva mpaka baharini

Picha na Benjamin Sawe
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts