6/18/16

Mbilikimo wadai haki zao DRC

Watu wa jamii ya mbilikimo nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo DRC wameiomba serikali yao kuwashrikisha katika shughuli za maendeleo na kuwapa haki zao kama watu wengine.


Mbilikimo hao wamedai kukabiliana na matatizo mengi kama vile kupokonywa ardhi zao na kutopewa kipaumbele katika shughuli mbalimbali.

Mmoja wa mbilikimo hao amezungumzia hivi swala hilo 
 
chanzo: BBC
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts