6/29/16

Naibu Spika awafuturisha wabunge Wanawake.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama  akifurahia futari iliyoandaliwa na Naibu Spika Mhe Dkt. Tulia Ackson  Mjini, Dodoma kwa ajili ya wabunge wanawake.

Naibu Spika Mhe. Dkt. Tulia Ackson akifurahia  futari aliyoiandaa kwa ajili ya wabunge wanawake Juni 28, 2016 Mjini,


Naibu Spika Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama  huku wakishiriki futari iliyoandaliwa na Naibu Spika Mhe Dkt. Tulia Ackson  Mjini, Dodoma.


Waheshimiwa wabunge wakishiriki futari ambayo iliandaliwa na Naibu Spika Mhe. Dkt. Tulia Ackson maalum kwa wabunge  wanawake  Juni 28, 2016 Mjini Dodoma.


Mbunge Viti Maalum Mhe. Amina Mollel akitoa neno la shukrani kwa Naibu Spika kwa niaba ya wabunge wanawake wakati wa futari iliyoandaliwa na Naibu Spika Juni 28, 2016 Mjini Dodoma.

Naibu Spika Mhe. Dkt. Tulia Ackson Akiwashukuru Wabunge wanawake kwa kuitikia mwaliko wake wa kushiriki futari aliyowaandalia Mjini Dodoma.

(Picha na Frank Mvungi-Dodoma
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts