6/24/16

New Video: Godzilla – Nataka Mkwanja

 
Godzilla ameachia video ya ngoma yake mpya, ‘Nataka Mkwanja.’ Ngoma imetayarishwa na producer wa MJ Records, Marco Chali. Nataka Mkwanja bila wasiwasi ni anthem ya kipindi hiki cha kiangazi. Icheck hapo chini.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts