6/5/16

Ole Sendeka atikisa Kilwa Masoko,Mkoani Lindi ni katika mkutano wa wana-CCMMsemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka amefanya mkutano mkubwa kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi . Pamoja naye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa huo, Ali Mtopa


Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akislimia Wazee Maarufu ambao ni Waasisi wa TANU na baadaye CCM, alipowasili kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi


Wananchi wakimshangilia Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka alipoingia kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi leo jioni


Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akwafurahia wananchi wlaliokuwa wakimshangilia alipoingia kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi


Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa, wakiwafurahia wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi, leo jioni


Vijana wa bodaboda wakiingia kwa mbwembwe za aina yake kwenye mkutano huo


Vijana waendesha bajaji wakiingia kwa mbwembwe za aina yake kunogesha mkutano huo


Vijana Chipukizi wa CCM wacheza sarakasi wakiingia kwa gari lao kwa mbwembwe za aina yake kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye Vianja vya Mkapa Garden, wilayani Kilwa Masoko mkoani Lindi leo


Kijana wa kikundi cha Sarakasi cha Umoja wa Vijana wa CCM akionyesha umahir wake, vijana hao walipocheza sarakasi kabla ya mkutano huo kuhutubiwa na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi


Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwafurahia vijana hao wakati wakicheza sarakasi kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi


Vijana wa Brass Band ya Umoja wa Vijana wa CCM wakiingia kwenye mkutano huo


Wananchi wakishangilia kwenye mkutano huo


Menyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Kilwa mkoani Lindi akihamasisha wananchi kwenye mkutano huo

Kada wa CCM, Mohammed Albadawi ambaye amewahi kuwa kiongozi wa CUF katika ngazi mbalimbali na pia kuwania Ubunge katika jimbo la Mafia katika Uchaguzi Mkuu uliopita, akikichambua chama hicho alipohutubia kwenye mkutano huo leo.


Vijana wakichangamsha mkutano huo


Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa akimkaribisha Ole Sendeka kuhutibia mkutano huo


Mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Lindi Ali Mtopa akiserebuka kidogo jukwaani kabla ya kuwachia Uwanja Ole Sendeka


Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi. Sendeka amesema, Wapinzania wanadai kwamba Rais Dk. John Magufuli uongozi wake ni wa Kidikteta, wameamua kujaribu hoja hiyo kwa kuwa wameishiwa hoja na hata hivyo hoja yao hiyo haiwezi kuwa na mashiko kwa Watanzania ambao wanaamini Rais Dk. Magufuli anavyofanya sasa kupasua majipu na kupambana na vitendo vya ufiadi, kufuja rasilimali za nchi, uzembe na umangimeza ni sahihi.


Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi. Sendeka amesema, Wapinzania wanadai kwamba Rais Dk. John Magufuli uongozi wake ni wa Kidikteta, wameamua kujaribu hoja hiyo kwa kuwa wameishiwa hoja na hata hivyo hoja yao hiyo haiwezi kuwa na mashiko kwa Watanzania ambao wanaamini Rais Dk. Magufuli anavyofanya sasa kupasua majipu na kupambana na vitendo vya ufiadi, kufuja rasilimali za nchi, uzembe na umangimeza ni sahihi.


Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts