Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

6/26/16

Picha: Mh.January Makamba Ashiriki Maafari ya 24 ya Chuo cha Biblia

Mhe.January Makamba(MB),Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na Mazingira ) ameitumia Siku ya Tarehe 25 /6/2016 kushiriki katika maafari 24 ya chuo cha biblia Vuga  (VUGA BIBLE )kilichopo katika halmashauri ya Bumbuli mkoani Tanga.  Vilevile Mhe.January Makamba alipata fursa ya kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo inayofanywa na chuo hicho,Pia  aliupongeza uongozi wa chuo kwa kutoa elimu mbali mbali kwa wananchi waishio karibu na chuo na bumbuli kwa ujumla.

 Mhe.January Makamba Akiwasili chuoni hapo huku akisalimiana na wenyeji
 
 Akitazama baadhi ya kazi za mikono za kikundi cha wakina mama wa Upendo,kikundi hicho kimepata mafunzo chuoni hapo.
 Mh Makamba akijifunza namna ya utengenezaji wa Mizinga ya nyuki kwa kutumia udongowa mfanyanzi,mizinga hiyo inauwezo wa kudumu miaka 80-100.
Mh Makamba akielekezwa jambo huku akijifunza  historia ya chuo hicho kwa njia ya picha.
 Akitazama baadhi ya kazi za mikono za kikundi cha wakina mama wa Upendo,kikundi hicho kimepata mafunzo chuoni hapo.
 Mh Makamba akifuruhia jambo kwa pamoja na Wana kikundi hao