Quick Rocka kuibuka na Wizkid | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

6/18/16

Quick Rocka kuibuka na Wizkid


rock.jpg Quick Rocka
Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva ambaye sasa yuko ‘busy’ kupushi ngoma yake mpya waliyoshirikiana na G Nako pamoja na Jux, Quick Rocka amesema kuwa wakati huu ndiyo muafaka kwake kupaa kimataifa na kwamba yuko katika maandalizi ya kolabo na msanii kutoka Nigeria Wizkid pamoja na DJ Maphorisa kutoka Sauz.
00-holding-wizkidWizkid
Akichonga na gazeti hili, Quick Rocka alisema muda mrefu alikuwa anatamani kupiga kolabo na wasanii wa nje wenye majina makubwa ili wamsaidie kutanua ‘fun’ base yake lakini tatizo lilikuwa ni mipango haikuwa poa lakini kwa sasa kila kitu kiko sawa.
“Mimi na watu ninaofanya nao kazi tuko katika maandalizi ya kufanya kolabo na Wizkid na kila kitu kikikamilika nitawafahamisha wapenzi wa kazi zangu rasmi juu ya kolabo hiyo ambayo nina uhakika itanipaisha mbali sana,” alisema Quick Rocka.

google+

linkedin