6/10/16

Rais Dkt. Magufuli awaapisha Jaji Kiongozi na Jaji wa Mahakama ya rufani.


Jaji Kiongozi Bw. Ferdinand Wambali akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani)wakati wa hafla ya uapisho ya Jaji Kiongozi na Jaji wa Mahakama ya rufani leo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Jaji wa Mahakama ya rufani  Bw. Shaban Lila akisaini hati ya kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya uapisho ya Jaji Kiongozi na Jaji wa Mahakama ya rufani leo Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya Pamoja na Jaji Kiongozi Bw. Ferdinand Wambali (kulia) na Jaji wa Mahakama ya rufani  Bw. Shaban Lila baada ya kuwapisha leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya Pamoja na baadhi ya viongozi wakati wa uapisho kutoka kulia ni Jaji Mkuu Mh. Chande Othuman, Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa, Jaji Kiongozi Mh. Ferdinand Wambali, Jaji wa Mahakama ya rufani  Mh. Shaban Lila na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wageni na waandishi wa habari waliohudhuria hafla ya uapisho ya Jaji Kiongozi na Jaji wa Mahakama ya rufani leo Ikulu Jijini Dar es Salaam

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Bw. Hussein Kattanga akimueleza jambo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa wakati wa hafla ya uapisho ya Jaji Kiongozi na Jaji wa Mahakama ya rufani leo Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Bw. Hussein Kattanga, Kutoka kulia ni Jaji Mkuu Mh. Chande Othmani, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John William Kijazi
Picha na Hassan Silayo
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts