6/2/16

Sioni tatizo la kuvaa nguo fupi kwenye filamu – Rose Ndauka


Msanii wa Filamu Bongo, Rose Ndauka amesema haoni kama kuna tatizo mtu kuvaa nguo fupi kwenye filamu kama mguu unamruhusu.
Rose-Ndauka
Alikuwa akijibu kauli iliyotolewa na Bibi Hindu hivi karibuni kuhusu wasanii wa bongo movie kuvaa nguo za nusu uchi mpaka kufikia filamu kushindwa kuangaliwa na watoto wakiwa na wazazi wao.
“Hakuna shida mtu kuvaa kimini kama mtu ana mguu unamruhusu kuvaa hivyo inategemea na uhusika tu wako tu na pia filamu zinaandikwa kabisa kuwa hii inaangaliwa na wote na hii hairuhusiwi kuangaliwa na mtoto wa chini ya miaka kumi nane kwanini sasa watoto waangalie?” alihoji muigizaji huyo kwenye kipindi cha E-News cha EATV.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm