6/30/16

Tajiri wa kwanza ulimwenguni Bill Gates aonesha hofu baada ya Uingereza kujiondoa katika Umoja wa Ulaya


Baada ya raia wa Uingereza kuchukua uamuzi wa Uingereza baadhi ya watu mbali mbali duniani waliyatoa malalamiko yao kufuatia uamuzi huyo.
Tajiri wakwaza ulimwenguni mwenye kitata cha dolla za kimarekani bilioni 69,2 raia wa Marekani Bill Gates mwenye umri wa miaka 60 nae azungumza ya kwamba hakutarajia kama raia wa Uingereza wanaweza kuchukua uamuzi kujiondoa katika Umoja wa Ulaya maana Uingereza ni mshirika mzuri wa kibiashara.
Hayo aliafahamisha katika mahojiano na waandishi habari mjini Paris nchini Ufaransa.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts