6/26/16

TAZAMA Hapa Video Mpya ya Mr Blue Aliyomshirikisha Alikiba ya Wimbo Unaoitwa Mboga Saba....

Mtu wangu June 25 2016 nina  kila sababu ya kukusogezea hii good news  kutoka kwa Mr Blue, leo anatualika kuitazama video yake mpya  ya  Mboga saba aliyomshirikisha Staa kotoka Bongoflevani Alikiba, video ambayo imetayarishwaa chini ya Director kutoka Kwetu Studio, usisahau pia unaweza ukaniachia comment yako hapa chini na wakali hawa wataziona hapa. Video:
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm