6/20/16

Tazama picha na ujumbe wa mastaa kibao kwenye Father’s Day

Jumapili ya Juni 19, ilikuwa ni siku ya baba duniani na mastaa kibao waliungana na watu wengine kuwaandikia ujumbe wa shukrani baba zao. Hawa ni baadhi yao:
P Diddy
safari
My biggest job is Combs Inc, that’s my sons and my daughters!! #FamilyFIRST #teamLOVE #FathersDay
Lady Jaydee
90c8a860751b252e58c26f97e05856c4_XL
Naamini Kabisa Ukali wa Huyu Bwana Ndio Ulioninyoosha Hadi Leo Kuwa Binti Mwenye Adabu Na Heshma ya Kusifiwa Na Wengi, Yapo Mapungufu Kama Binadamu Sikatai ” Hakuna Aliekamilika”
Ila Mwana Umleavyo Ndivyo Akuavyo
Baba Tulikuwa tunamuita “Mzee K”
Yaaaani Mzee Kiboko
πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽Malezi ya Dini, Minyoosho Na Hekima
Toka Kwa Hakimu
Rest In Paradise Lameck Mbibo
Happy Fathers Day Kwa Wanaume Wote Ambao Hamjakimbia Mimba Wala Kuwakana Watoto Wenu
Wanaume Wote Mnaonunua Maziwa, Pampers Na Kulipa Ada ……………..
Na Kuhudumia Watoto Wenu Wakiugua
Hii Siku Inawafaa Endapo Mnatimiza Wajibu Wenu……..😊😊😊😊😊😊😊
Happy Fathers Day
#SawaNaWao
#SawaNaWao
#SawaNaWao
Amber Rose
Baghdad
Happy Father’s Day to Sebastian’s Dad @mistercap Thee most Awesomest Dad in the World!!! ( Besides my Daddy) πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ Wish I could be home with you guys Today πŸ˜₯ but have a blast and love each other up all day! 😍
AliKiba
02a41cbd1ae9e24aa9bc7871c95742d2
Family members #HappyFathersDay #RamadhanMubaraq #KingKiba
kelly Rowland
tcpcf3d1dgbw2qb1576385d14c94c
This day was made especially for you my love! Thank You for being a great example for our son! And showing me what a A REAL DAD/Fatherhood looks like, you are the exception. Titan and I are so blessed! On this day we celebrate you! We love you! HAPPY FATHERS DAY!
Chris Brown
image
Happy Father’s Day POPS ❤️
50 Cent
12383209_646788105460940_1016128086_n
Happy Fathers Day !!! Boy you got all this hair on me, lol
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts