6/28/16

Tigo yazindua ‘NITIGOPESA’
Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Tanzania, imezindua kampeni mpya inayojulikana, ‘NITIGOPESA’ inayolenga wateja kutoka mitandao yote ya simu nchini kuweza kufanya huduma zao za fedha kwa njia ya simu pamoja na wateja wa Tigo Pesa wakiwemo wafanya biashara nchini .

Kwa mujibu wa Mkuu wa Huduma za Fedha wa Tigo, Ruan Swanepoel Kuanzia sasa na kuendelea mitandao mingine ya fedha kwa njia ya simu kama vile M-Pesa, Airtel Money na EasyPesa itaweza kufanya shughuli zake na Tigo Pesa kupitia ununuzi na ulipaji kutoka mtandao wao.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm