6/10/16

Ufafanuzi umetolewa kuhusu mti unaodaiwa kutokelezea sura ya Mwl Nyerere


Kuanzia juzi kumekuwa na habari zilizosambaa kwenye mitandao kijamii kutokea Tengamano Tanga ambapo imedaiwa mti aina ya Mwembe unatokelezea sura ya Mwl Julius Nyerere na upande mwingine Mama Maria nyerere sasa kwa niaba ya Uongozi Diwani wa kata ya Majengo, Tengamano Tanga, Suleiman Idd Mbarouk ametoa ufafanuzi kuhusu madai hayo…….
>>>’kila mmoja anazungumza kulingana na mtazamo wake, mwembe ule hauna mabadiliko kwamba usiku unakuwa tofauti na mchana unakuwa tofauti, muonekano wa usiku ndio muonekano huohuo wa mchana isipokuwa kitu utatakchokutana nacho kama shuhuda ni kile kitu ambacho kwenye mawazo yako umetegemea kukiona
Unaweza kusikiliza kwa kubonyeza play hapa chini…..
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts