6/2/16

Video: Baada ya Rayvany kuachia ‘Natafuta kiki’ Mchekeshaji Stan Bakora kaifanyia video..

Baada ya Msanii kutoka  lebel ya WCB Rayvany kuachia hitsong yake ya  ‘Natafuta Kiki‘ leo June 1 2016 mchekeshaji Stan Bakora anatualika kwenye video yake aliyoifanya kupitia hitsong ya wimbo huo ‘Natafuta kiki’, mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa wakali hao wataziona hapa.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts