VIDEO: Highlights na goli la mechi ya MO Bejaia vs Yanga June 20, Full Time 1-0 | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

6/20/16

VIDEO: Highlights na goli la mechi ya MO Bejaia vs Yanga June 20, Full Time 1-0


Usiku wa June 20 2016 Dar es Salaam Young Africans walikuwa Algeria kucheza mchezo wao wa kwanza wa Kundi A wa hatua ya nane bora dhidi ya wenyeji wao MO Bejaia, katika mchezo huo Yanga walifungwa na MO Bejaia kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Armando Sadiku dakika ya 20

google+

linkedin