6/28/16

VIDEO: ‘Wamama wanaopewa mimba na watoto nao wafungwe jela’ -Edward Mwalongo


Serikali imependekeza muswada wa sheria kwa watoto ambapo imeelekeza kuwa mtu atakayempa mimba mtoto atahukumiwa kifungo cha jela miaka 30, mbunge wa Njombe mjini Edward Mwalongo amesema hata wale wakinamama wanaopewa mimba na watoto nao wapewe adhabu ya kifungo kwakuwa ni kitendo cha kuwapandikiza majukumu watoto wadogo.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts