Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni Kimyakimya | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

6/21/16

Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni Kimyakimya

Wabunge wa Ukawa wameendelea kususia vikao vinavyoongozwa na Dk Tulia Ackson, lakini leo wametoka kimyakimya bila mbwembwe kama za jana.

Kwa sasa kamati ya uongozi ya umoja huo imeingia kufanya kikao kujadili mustakabali wao.

Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia amesema watatoa taarifa kamili baada ya kumaliza kikao hicho.

google+

linkedin