6/11/16

Wanaopokea rushwa kwenye mizani kufukuzwa kazi-Serikali


U36-620x399
Serikali imesema itachuku hatua kali ikiwemo kumfukiza  kazi na kumfikisha  mahakamani mfanyakazi wa Mizani atakayebainika anajihusisha na vitendo vya kupokea rushwa ili kuruhusu magari kupita bila kupimwa uzito.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga wakati alipokagua huduma za upimaji uzito wa Magari katika  Mzani wa Njuki Mkoani Singida.
Amesema hadi sasa kuna baadhi ya wafanyakazi wa Mizani wameachishwa kazi kutokana na kujihusisha na vitendo vya kupokea rushwa kutoka kwa madereva wa magari ya Mizigo na abiria.
Read More
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts