6/24/16

Waziri ateua madiwani 56 Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Haji Omar Kheir amewateua madiwani 56 ambao wataungana na wenzao wa kuchaguliwa kushiriki mabaraza ya miji Zanzibar.
Kwa mujibu wa uteuzi huo, madiwani 36 ni wanawake ambao ni sawa na asilimia 64 na madiwani 20 ni wanaume.
Aliyaagiza mabaraza yote kuwaapisha madiwani hao kuyatumika mabaraza yao na kuandaa taratibu za uchaguzi na kufanya uchaguzi wa viongozi kwa mabaraza ya miji na halmsahauri kabla ya Julai 20, mwaka huu.

Chanzo: Mwananchi
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm