6/12/16

WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MCHEPUO WA KIINGEREZA

pim1
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akimsikiliza Glorius Nkinda ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza  katika shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati akijibu swali la Hesabu alilomuuliza. Mhe. Pinda alitembelea shule hiyo hivi karibuni kwa ajili ya  kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
pim2
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiongea na wanafunzi  wa darasa la kwanza wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipoitembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
pim3
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akimsikiliza Kelvin Agustino mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke alipokuwa akisoma kitabu cha Kiingereza wakati alipoitembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
pim4
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiwauliza maswali wanafunzi wa shule ya awali wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
pim5
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiwauliza maswali wanafunzi wa shule ya awali wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
pim6
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiwa katika picha ya pamoja na walimu pamoja na wanafunzi wa darasa la tatu wakati alipoitembelea  shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
 Picha na Mpigapicha wetu.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts