7/4/16

Breaking News | Taarifa kuhusu ajali mbaya iliyohusisha basi kampuni ya 'City Boys' mkoani Singida

Kamanda wa polisi mkoa singida Thobias Sedoyoka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kwamba ajali hiyo inahusisha basi lenye usajili wa no T 531 BCE likitokea dar kwenda kahama na basi T 247 linalotoka kahama kwenda Dar yote ya kampuni moja CITY BOYS, yamegongana uso kwa uso na kuuwa abiria 24 papo hapo na kujeruhi wengine. Idadi zaidi ya vifo itaendelea kutolewa.

Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm