7/11/16

Dj D-Ommy,Joh Makini,Diamond,AY,Ali Kiba na Yamoto Band watajwa kuwania tuzo za ‘Africa Entertainment Awards’.

DJ D-Ommy kutoka Clouds Media Group licha ya kufanya ‘mixing session’ kwenye events kubwa nchini Marekani ikiwa ni pamoja na kualikwa kama ‘guest dj’ kwenye kituo cha Tv cha MTV Base amekua Dj pekee wa Tanzania aliyetajwa  kwenye tuzo za Africa Entertaiment Awards,akiwania  kipengele cha Best DJ huku  Millard Ayo  akitajwa kuwania kipengele cha Best Blogger
DJ D OMMY BEST DPDPDP                                                    Dj D-Ommy.

Bongofleva hit maker Diamond Platnum  ameongoza kwa kutajwa kuwania vipengele vingi zaidi vikiwemo Best Male Single, Best Video of The Year, pamoja na People’s Choice huku AY na Alikiba wakiwania kipengele kimoja cha Best Collaboration kwa hits zao za ‘Zigo Remix’ na ‘Nagharamia’.
Rapper Joh Makini kwa upande wake ametajwa kuwania  vipengele viwili, Best Hip hop Artist na Best Video of the Year kwa wimbo wake Don’t Bother ambapo pia wimbo wa ‘Achia Body’  wa  Ommy Dimpoz pia umetajwa kwenye kipengele hicho.
Vanessa Mdee anawania tuzo ya Best Female Single kwa wimbo wake Never Ever huku Linah akitajwa kwenye kipengele cha Best Female Artist wakati Yamoto Band  wakitajwa kwenye kipengele cha ‘Hottest Group’.
Wanamuziki kutoka music label ya (WCB)Harmonize na Raymond nao wametajwa kuwania Best New Artist na Best New Talent (respectively).
Ili kuwapigia kura hatimae kuzirudisha tuzo hizi nyumbani  bonyeza hapa.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts