7/13/16

HESLB: ORODHA YA WANAFUNZI WANUFAIKA WA MIKOPO AMBAO HAWAKUHAKIKIWA


HESLB
Orodha ya wanafunzi 2,739 kutoka taasisi mbalimbali za elimu ya juu ambao hawakuhakikiwa na ambao wanatakiwa kujitokeza ndani ya siku saba (07) kuanzia tarehe 13 Julai, 2016 ili kuhakikiwa katika sehemu watakazoelekezwa na vyuo husika. Ili kuona majina ingia  http://olas.heslb.go.tz
Chanzo: Heslb
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm