7/14/16

Keisha kuhitimu Disemba, anachukua shahada ya ununuzi na ugavi katika chuo cha CBE

Mwanamuziki Keisha baada ya kubanwa na masomo kwa muda mrefu hali ambayo ilimfanya apate muda mchache wa kufanya muziki, hatimaye anatarajia kumaliza masomo yake mwezi Disemba mwaka huu.
Keisha 2
Muimbaji huyo mapema mwaka jana aliambia Bongo5 kuwa yupo mwaka wa pili katika chuo cha CBE na anachukuwa shahada ya ununuzi na ugavi (Bachelor Degree in Procurement and Supplies Management).
Keisha ambaye ni mama wa watoto wawili, Jumatano hii amepost picha ya kitambulisho chake cha chuo na kuandika: Veryyyyy soon inshaAllah
Keisha
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts