Mahakama ya mafisadi hii hapa, Jaji Mkuu atembelea kujionea | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

7/27/16

Mahakama ya mafisadi hii hapa, Jaji Mkuu atembelea kujioneaPicha na maelezo: Mwananchi
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mohamed Chande Othman leo ametembelea jingo litakalotumika kuanzisha kuanzisha Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu kama ‘Mahakama ya Mafisadi’.

Jaji Mkuu aliambatana na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Ferdinand Wambali ambao walipewa maelezo mbalimbali kuhusu jingo hilo na Mhandisi wa Mahakama ya Tanzania, Khamadi Kitunzi.

Jengo hilo liko kwenye Shule ya Sheria (Law School) Sinza jijini Dar es salaam.

google+

linkedin