MC Koba adondokea kwa Mkubwa na wanawe, aachia zawadi yake | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

7/17/16

MC Koba adondokea kwa Mkubwa na wanawe, aachia zawadi yake


Kutoka katika Lebo ya Mkubwa na wanawe, hatimaye Mwanamuziki MC Koba ameachia rasmi video ya wimbo wake wa Zawadi.

Zawadi ni wimbo ulioimbwa katika aina ya muziki wa mchiriku ambayo watu wengu huamini kwamba ndiyo staili hali ya muziki wa kitanzania.

google+

linkedin