Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

7/25/16

Mshtakiwa wa Sh7 milioni kwa dakika ndani ya kesi mpya

 
Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya uhujumu uchumi, anayedaiwa kuiibia Serikali na kuisababishia hasara ya zaidi ya Sh15.6 bilioni kwa kutumia mashine za kodi za kielektroniki, Mohamde Yusufali, anatarajiwa kupandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka mengine ya uhujumu uchumi.
Katika kesi hiyo, Yusufali anatarajiwa kuunganishwa na mfanyabiashara maarufu jijini Arusha, aliyetajwa kwa jina la Samweli Lema, ambao watasomewa mashtaka yanayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Yusufali na Lema walifikishwa mahakamani hapo jana alasiri na Takukuru ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru),kwa lengo la kupandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka yanayowakabili.