7/3/16

Picha: Harakati za Maandalizi ya Sikukuu Mjini Zenj

 Kipindi cha karibu na Sikukuu barabara ya darajani na maeneo hayo huwa na msongamano wa watu na magari kuifanya sehemu hiyo kuwa ndogo kila mtu hufika katika eneo hilo kujitafutia mahitaji kwa ajili ya maakuli ya sikukuu Kama inavuoonekana picha wananchi wakiwa katika pirikapirika hiyo leo asubuhi na kuifanya sehemu hiyo kuonekana ndogo kwa wingi wa Wananchi wa Zanzibar. 

Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm