Pichaz 10: Kutoka kwenye uapishwaji wa Wakuu wa Wilaya tano za Dar | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

7/4/16

Pichaz 10: Kutoka kwenye uapishwaji wa Wakuu wa Wilaya tano za Dar


June 26 2016 Rais John Magufuli aliwateua jumla ya Wakuu wa Wilaya 139 ambapo Mkoa wa Dar waliteuliwa Wakuu wa Wilaya wa Tano, Taarifa hii ikufikie Mtu wangu baada ya uteuzi huu wa Wakuu wa Wilaya leo July 4 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewaapisha wakuu wa Wilaya 4 kati ya watano.
Leo nimewaapisha tutawaapisha hapa wakuu wa Wilaya 4 kati ya 5 hiini baada ya Mkuu moja wa wilaya kupata msiba wa baba yake mzazi hivyo atakapotoka kwenye kipindi hicho kigumu tutamuapisha kwa Mkuu mpya wa WilayaPaul Makonda.
IMG_1201
IMG_1203
IMG_1225
IMG_1229
IMG_1238
IMG_1257
IMG_1261
3X6A0190
3X6A8415

google+

linkedin