7/10/16

Polisi na kauli ‘tata’ za mikutano ya vyama


tz_pol1 
Jeshi la Polisi limeendelea kutoa kauli tata kuhusu mikutano ya vyama vya siasa baada ya kutangaza kuizuia hivi karibuni.
Zuio la Polisi kwa mikutano ya hadhara na maandamano ya vyama vya siasa, lilitangazwa Juni 7, 2016 kwa madai kuwa mikutano hiyo ina lengo la kuwahamasisha wananchi kutotii sheria za nchi.
Jana limesisitiza tena kauli yake kuwa kilichozuiwa ni mikutano ya hadhara na maandamano, likitetea kuwa lilizuia vikao vilivyoonekana vya ndani kwa sababu maalum.
Zuio la mikutano ya hadhara lilikuja wakati Chama cha ACT Wazalendo kikiwa kimeshaandaa mkutano wake wa hadhara Mbagala jijini Dar es Salaam, Juni 5.

mwananchi
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts